Usiku wa kumkia leo ndiyo kilele cha kuhitimisha siku nne za kusherehekea kumbukumbu ya kuzaliwa C.E.O wa WCB, Diamond Platnumz ambapo private party  imefanyika katika hotel ya Hyatt Rency na kuhudhuriwa na mastaa kadhaa pamoja na watu wake wa karibu.Kabla ya sherehe hiyo Diamond ametoa msaada wenye thamani ya shilingi  milioni nne katika hospitali ya Amani iliyopo Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam ambapo ndiyo alizaliwa miaka kadhaa iliyopita.
Manager wa Diamond(kulia) Sallam akifurahia jambo na Diamond kwenye birthday dinner party
Diamond akiwa na mlinzi wake
Diamond akiwa na wageni waalikwa
Next
This is the most recent post.
Previous
Older Post

0 comments:

Post a Comment

 
Top
CelebritySwaggz.Com