Wakuu kuna clip zimesambaa Jana za boss Ruge wa Clouds FM amerekodiwa na aliyekuwa mpz wake aliyezaa nae watoto 2 akimlilia huyo mwanamke asimuache, baada ya huyo mwanamke ambaye ni mtangazaji wa cloud fm anaeitwa Zamaradi Mketema kuamua kuolewa na anaesemekana ni mtoto au mtu wa karibu na mh waziri Mkuu Kassim majariwa,

Je anaweza kufungua shauri mahakamani akadai haki yake ya privacy kuingiliwa bila idhini yake, wataalamu wa sheria mtusaidie......

0 comments:

Post a Comment

 
Top
CelebritySwaggz.Com