Kutoka facebook ameandika Mchungaji Zakayo Nzogere:
"Tafadhali tusaidiane kufikisha ujumbe huu...
TUNATAKA JUKWAA LA WAKRISTO TANZANIA LINALOJUMUISHA BARAZA LA TEC, CCT NA CPCT LITOE TAMKO DHIDI YA WIMBO WA "DIAMOND" AMBAO AMETUMIA NENO "HALLELUJAH" WAKATI MAUDHUI YA WIMBO WAKE HAYAENDANI NA MAADILI YA KIKRISTO.
MATUMIZI YA NENO HILO KATIKA WIMBO HUU YANAUDHI.
PIA NAOMBA WAZIRI WA UTAMADUNI, SANAA NA MICHEZO AFIKISHIWE UJUMBE HUU.
PIA TUNAITAKA BASATA IZUIE WIMBO HUU HADI MANENO HAYO YAONDOLEWE.
CC. Bishop David Batenzi, Bishop Tarcisius Ngalekumtwa, Bishop Alex Malasusa"

0 comments:

Post a Comment

 
Top
CelebritySwaggz.Com