Mwigizaji staa na Miss Tanzania 2006 Wema Sepetu usiku wa August 31, 2017 alishindwa kutokea kwenye uzinduzi wa bidhaa mpya ya Idriss Sultan licha ya Idriss kuwepo kwenye uzinduzi wa movie mpya ya mrembo huo siku kadhaa nyuma.

Ayo TV na millardayo.com zilimpata Idriss ambaye alisema alitarajia Wema kuibuka kwenye tukio hilo ingawa alirikiri kuwepo changamoto ambayo huenda ilimzuia kutohudhuria.

Sasa leo September 1, 2017 kupitia kwenye Instagram yake Wema Sepetu ameweka wazi kilichomkwamisha asifike kwenye tukio hilo.

 ”We Compliment one another on the Red Carpet… Dats wat we do… We make each other look better than wat we already are… I feel sooo bad not showing up at your launch last night & this is me right here saying Im sorry… Its haunting me, The fact that wewe ulikuja kwenye premiere yangu na ukani support.


 “Hamuwezi amini jana mpaka na salon nimeenda, I was getting ready kwa ajili ya launch ya Dris, Ila wat happened… Dah… Elisha kaniharibia nguo yangu, I cried like a baby maana it was late, na sijui wat went wrong maana Elisha hajawahi kabisa kunizingua kwenye nguo zangu ila ndo bahati mbaya… Sikuwa na nguo nyingine ya kuvaa and it was already late.


 “Maduka ya nguo yote were closed and I had no second option… Wenyewe mliona Dris alivyopendeza alafu mimi ndo niende looking awful… Sikuweza fanya chochote… Maybe this wont make sense kwenu but it makes alot of sense kwangu mimi… Red Carpet appearances are Major jamani… Yaani sijui hata niseme nini… Dris Im Sorry… I had to do this here…

“Since y’all have seen how Dris has been there for me… It hurts soo much that nimeshindwa kuwepo jana… If only I had another option wallahy… Ila nilishapanga kuvaa that particular nguo na ndo ikaharibiwa… Nihisi kufa… Once again Im sorry Dris… I’ll make it upto u… Naombeni mnisaidie kumwelewesha japo anielewe… Maana najua as a human being lazima amejiskia vbaya sana… 😔😔😔

0 comments:

Post a Comment

 
Top
CelebritySwaggz.Com