Jumamosi hii bosi wa kituo cha EFM, Majay amesherekea siku yake ya kuzaliwa – Hamisa Mobetto ambaye pia ni ex wake hakubaki nyuma kumuandikia ujumbe mzuri.

Kupitia mtandao wa Instagram, mrembo huyo ameandika

  “Happy Birthday Baba Fantasy … Ahsante Kwa kua Baba bora Na zaidi Kwa Mwanetu. M/Mungu Akutunze, Akulinde Na Akuzidishie Maendeleo Tele . Tunakupenda sana & Thank you for always being here πŸ™πŸΎπŸ’• #coparentingatitsfinest @majizzo.”

Majay na Hamisa waliwahi kuwa na mahusiano ambapo walifanikiwa kupata mtoto mmoja wa kike kabla ya kuachana.

0 comments:

Post a Comment

 
Top
CelebritySwaggz.Com