Mrembo Mange Kimambi Amefunguka Makubwa Baada ya Kumaliza Zoezi alilolianzisha Instagram la kupokea Video za watu mbali mbali na kuzipost huku wakicheza wimbo mpya wa Ali Kiba.....Amefunguka Haya Hapa Chini:

Mangekimambi_ - Hey guys, tumefikia mwisho wa #SeduceMeChallenge
.Hongera kwetu sisi wooooote. Credit should go to you Ali Kiba's fans kwa kukinukisha. Bila nyinyi kunitumia videos nisingekuwa na material za kuposti...... Kazi yangu ilikuwa ndogo, kazi kubwa ilikuwa kujirekodi those amazing creative videos....

I'm bummed kuwa nimebaki na maelfu ya video ambazo sikuweza kuposti! Haki siku nyingine itabidi nininue iphone 7 plus kabla ya issue Kama hiii, maana nimepata shida ya storage Jamani. Mpaka nilikiwa nadata .... .

Nawaomba msahama wooote ambao sikuposti video zenu na sikujibu malalamiko yenu whatsapp, sikuweza kuwajibu woote mmoja mmoja . Naomba mjue kuwa wooote mlituma video nzuri Ila sikuweza kuposti zoooote!!!

Lastly niseme kuwa kilichotokea the last few days kiwe Funzo kwa wanamuziki wetu, mashabiki wanataka mziki tu sio maskendo na makiki yasio na mpango. Kiba kawaonyesha kuwa kufanikiwa sio lazma uwe na wanawake 20 au uwe una tukana wanawake zako mitandaoni, au uwe unatukana mashabiki wasiokukubali au uwe Namameneja wapenda drama. Hatujawahi kumsikia @sevenmosha anachamba watu. .

Pia tumejifunza kuwa roho Mbaya hailipiiiiiii, mwisho wa ubaya huwa ni aibu.... Haikuwa na haja ya wao kutaka kumwaribia mwenzao. That's was so unfair Jamani! Mimi sikuwa na mpango wa kufanya promo kwa Kiba ila roho iliniuma sana 😭Haki nilipata shock, sikuamini vijana wadogo vile wanaweza kuwa wanyama kiasi kile, sikujua wanamchukia Kiba kiasi kile. Nilikuwaga nachukulia beef lao kama utani flani hivi, I never took their beef seriously ila juzi ndo nikajua those boys are cruel.Nilipoona Kiba anachezewa rafu bila sababu nikasema I have to do something,?fortunately na nyinyi pia mlikuwa tayari kuchukua hatua. Kwa kweli tumewanyoooooosha yani naamini kabisa wamejifunza na hawatorudia tena..... Tuwasamehe bure hawajui walitendalo!! .

Congrats Kiba, Sasa watanzania tunasubiria kuvote kwenye Awards... Yaaaaaas!

0 comments:

Post a Comment

 
Top
CelebritySwaggz.Com