DIVA anayekimbiza na Ngoma ya Utamu, Lulu Abbas ‘Lulu Diva’ amefungukia vigezo vya mwanaume anayeweza kumnasa lazima kwanza awe na ‘passion’ shauku ya maendeleo.

Unajua ipoje hii! Kama wewe mwanaume na una ndoto ya kuwa bebi wa Lulu Diva halafu sio Smart wala Gentlemen, huna hofu ya Mungu wala kipaji cha kudekeza, hujui kujali, una tatizo la kutokuelewa na kusikiliza basi huwezi kumpata mrembo huyu!

Kama hutoweza kujitolea ikibidi hata maisha yako kwa ajili yake basi nakushauri shtuka usingizini na ukemee kabisa ndoto hiyo kwani haitokaa itimie kutokana na kukosa vigezo hivyo anavyovitaka.

0 comments:

Post a Comment

 
Top
CelebritySwaggz.Com