Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeahirisha kesi ya kukutwa na dawa za kulevya inayomkabili Wema Sepetu na wenzake hadi, Agosti 1 mwaka huu.

Kesi hiyo imeahirishwa leo mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Godfrey Mwambapa baada ya Wakili wa serikali, Estezia Wilson baada ya kusema Hakimu anayesikiliza kesi hiyo hayupo, hivyo anaomba iahirishwe.

Hakimu Mwambapa aliahirisha kesi hiyo hadi Agosti 1, mwaka huu kwa ajili ya kuanza kusikilizwa.

0 comments:

Post a Comment

 
Top
CelebritySwaggz.Com