Mjasiriamali na Mwanamitindo maarufu Bongo, Jokate Mwegelo ameachia picha mbili mtandaoni  na kudai huyu ndiye Jokate original.Katika mtandao wa instagram alipoweka picha hizo, moja ameandika “The Original. The OG. #Kidoti, kisha nyingine, “African Barbie. African Queen”. Tazama picha hapa chini.

0 comments:

Post a Comment

 
Top
CelebritySwaggz.Com