#Regrann from #nikkwapili - Huko uswahilini kwetu kuna familia zimebaki na makovu ya kuwapoteza watoto wao walipokuwa wakijaribu kuwatowa ujauzito ili kuwaepusha na unyanyapaa wa kijamii kusemwa na kuoneshwa vidole....tafiti zinasema hata kwa watu wazima nao mimba yingi nizile zisizo za kutarajia ndio mana mimba laki 5 hutolewa kila mwaka. so kama wao linawashinda vip kwa watoto......namkubali sana raisi wetu kwa mambo mengi mazuri na ana nia njema.....lakini hili la mimba sijui labda wazazi wenyewe watowe maoni yao.....mim nadhani msichana mjamzito anahitaji kuelimishwa zaidi kulindwa zaidi na kupewa msaada wa kisaikolojia, maana kwenye jamii bado kuna unyanyapaa.......baba atafungwa jela, mama akifukuzwa shule mtoto atalelewa na nani? Hili swala linahitaji tafakari zaidi ndio mana jamii yenyewe haya mambo huwa hawaya peleki mahakamani tujiulize kwanini?

0 comments:

Post a Comment

 
Top
CelebritySwaggz.Com