Msanii Diamond Platnumz ameeleza baadhi ya mambo pengine ni vigumu kuyajua kwa kuwa si rahisi kuulizwa katika interview za kawaida. Kupitia kipindi cha The Grill cha Capital Tv Kenya, Diamond amefunguka mambo haya 10 ambayo hupaswi kuyakosa.

1. Mchezo upi wa utotoni unaukumbuka zaidi?.
Jibu: Kibaba baba.

2. Kitu gani unachojivunia?.
Jibu: Kupendwa.

3. Chakula gani unapendelea?.
Jibu: Ubwabwa.

4. Ni mstari upi au wimbo upi usioweza kuhusau?.
Jibu: My Number One.

5. Show yako ya kipekee ni ipi?
Jibu: Niliyofanya Zambia.

6. Ni jambo gani au hali iliyokutia aibu?
Jibu: Nilishawahi kumfumania mpenzi wangu wa zamani.

7. Kama ukipewa nafasi ya kusafiri sehemu yeyote ulimwengu ungependelea kwenda wapi?.
Jibu: Uk (United Kingdom, Uingereza).

8. Ni Mwanamuziki yupi anayekuvutia?
Jibu: Usher Raymond.

9. Hofu yako kubwa ni ipi?
Jibu: Kufa na kuwaacha watoto wangu.

10. Kama ukiwa Rais ni kitu gani cha kwanza kufanya?
Jibu: (anacheka) Kama nitakuwa Rais nitatengeneza mfumo ambao utatoa ajira kwa wengi.

0 comments:

Post a Comment

 
Top
CelebritySwaggz.Com