Mwigizaji Jacqueline Wolper amefunguka na kuwataka watu maarufu kujiheshimu na kuvaa nguo kulingana na mazingira kwani kuvaa nguo ambazo hazina staha inaweza kupeleka kukosa kazi au hata heshima yao kushuka.

Wolper alisema hayo kupitia kipindi cha eNewz na kudai japo hawakatazwi kuvaa nguo nusu uchi lakini si jambo jema, na kusema mtu unapovaa nguo za namna hiyo na unakwenda kwenye harusi au interview lengo lako linakuwa nini zaidi.

0 comments:

Post a Comment

 
Top
CelebritySwaggz.Com