"Unaitendea haki sana Wizara hii January! Big up👊🏿"- Ameandika Mbunge Nape Nnauye Kupitia ukurasa wake wa Twitter Leo Mei 30, 2017.
Hatua hiyo ni Muendelezo wa Jitahada ambazo amekuwa akizifanya January Makamba Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais anayeshughulikia Muungano na Mazingira katika kuhakikisha Sera ya uhifadhi wa Mazingira inasimamiwa na kutekelezwa ipasavyo.

Ungana nasi Facebook Like page yetu hapa chini

Weka Maoni Hapo Chini Kuhusu Habari Hii

Facebook Blogger Plugin by Celebrity Swaggz

Post a Comment

 
Top