Ni msanii wa kwanza kuguswa moja kwa moja na msiba wa Dogo Mfaume wa 'kazi ya dukani' aliyefariki Juzi kwenye Hospitali ya Taifa ya Muhimbili.

Dogo Mfaume amefariki siku mbili kabla ya matarajio ya kufanyiwa upasuaji wa kichwa kutokana na Maradhi ya uvimbe kwenye ubongo yaliyokuwa yakimsumbua.

kwa mujibu wa Mlezi wa Dogo Mfaume,  Pili Misanah ambaye ndio Mkurugenzi wa Kituo cha Soba cha Back to life amesema kuwa tangu kifo cha Dogo Mfaume msanii wa kwanza  kutoa pole kwa meseji kwenye msiba huo ni Dullyskys

0 comments:

Post a Comment

 
Top
CelebritySwaggz.Com