Mesut Ozil akipongezwa na Olivier Giroud, Hector Bellerin na Nacho Monreal baada ya kufunga bao la pili dakika ya 55 katika ushindi wa 4-1 dhidi ya wenyeji, Stoke City Uwanja wa Bet365 katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo, Giroud alifunga mabao mawili dakika za 42 na 80 na lingine Alexis Sanchez dakika ya 76 wakati la wenyeji limefungwa na Peter Crouch dakika ya 67

0 comments:

Post a Comment

 
Top
CelebritySwaggz.Com