RAIS mstaafu Jakaya  Kikwete akutana na Mchezaji wa Kimataifa wa Kitanzania Mbwana Ali Samata mjini Brussels Ubelgiji

Kikwete ameeleza kuwa amekutana na Mwana soka Kipenzi cha Taifa la Tanzania

Kikwete alikuwa kwenye majukumu yake ya kazi kama Mwenyekiti mwenza Baraza kuu la wakimbizi duniani.

0 comments:

Post a Comment

 
Top
CelebritySwaggz.Com