Diamond Platnumz ni miongoni mwa mastaa wa Bongo Flava wanaopenda fashion. Muimbaji huyo ameamua kubadilisha muonekano wa nywele zake kwa kuirudia style ya zamani ambayo mashabiki walikuwa wameizoea.

Hitmaker huyo wa ‘Marry You’, wikiendi hii atatumbuiza katika show yake nchini Zimbabwe. Tazama picha zaidi hapa chini.0 comments:

Post a Comment

 
Top
CelebritySwaggz.Com