Mama mzazi wa msanii wa muziki Moni, Fatma Salehe amedai baada tukio la mwanae kutekwa hataki tena ajihusishe na masula ya muziki
Moni na Roma pamoja na wenzake wawili walitekwa Alhamisi hii na watu wasiojulika na wakiwa katika studio za Tongwe Record Masaki Jijini Dar es salaam.

Ungana nasi Facebook Like page yetu hapa chini

Weka Maoni Hapo Chini Kuhusu Habari Hii

Facebook Blogger Plugin by Celebrity Swaggz

Post a Comment

 
Top