MSANII wa komedi Bongo na mshindi wa shindano la Big Brother Afrika 2015, Idris Sultan, ‘Dokta Mwaka’ ametokwa povu baada ya kuona picha za Wema Sepetu na Gabo Zigamba staa wa filamu Tanzania.

Idris alichapisha katika ukurasa wa Instagram akihoji mazingira ya picha ile kutaka kujua eneo lile ni wapi.

Mashabiki wa Wema mtandaoni wanafasiri jambo hilo kama ni wivu unaomsumbua Idris baada ya kuvunjika kwa mahusiano baina yake na Wema na inadaiwa wawili hao waliachana miezi miwili iliyopita.

0 comments:

Post a Comment

 
Top
CelebritySwaggz.Com