Kupitia mtandao wa Instagram, msanii Diamond Platimuz ameweka picha za watoto wake, Tiffah na Nillan na kuandika maneno akiwaasa watumie vyema midomo yao.
Prince & Princess Lion!!!.. Midomo mkaitumie vizuri hiyo watoto….😊-Diamond ameandika
Ujumbe amabao wengi wamaeuchukulia kuwa ni jibu kwa wale wote ambao walikuwa wakidai kuwa Nillan siyo mtoto Diamond na kuwa ni mtoto wa Ivan ambaye ni mzazi mwezie na Zari.

Ungana nasi Facebook Like page yetu hapa chini

Weka Maoni Hapo Chini Kuhusu Habari Hii

Facebook Blogger Plugin by Celebrity Swaggz

Post a Comment

 
Top