WAZIRI wa Habari,  Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye amefunguka kupitia mitandao ya kijamii juu ya madai ya kuvamiwa kwa kituo cha Redio Clouds FM majira ya saa nne usiku hapo jana.
Aidha Nape amewataka wanahabari watulize mpaka pale jambo hili litakapo patiwa ufumbuzi.
“Litatolewa ufafanuzi”, aliandika Nape.

0 comments:

Post a Comment

 
Top
CelebritySwaggz.Com