U Heard ya XXL ya Clouds FM leo February 01 2017 imemuhusu mwigizaji wa Tanzania Elizabeth Michael maarufu kama ‘Lulu’ ambapo kwenye mitandao kuna video ya mapenzi inayosambaa ikidaiwa kwamba Mwanamke anayeonekana ndani yake ni Lulu.
Majibu ya Lulu ni haya >>>  ‘haijanishtua kwa sababu watu ndio wanaona lakini mimi sioni hata ishara moja ya kufanana nae, watu wangu wa karibu wengi wanaonijua wanaweza wakaona hilo, watu wa karibu wangenikomalia kwamba ni mimi ningeumia kichwa’

Ungana nasi Facebook Like page yetu hapa chini

Weka Maoni Hapo Chini Kuhusu Habari Hii

Facebook Blogger Plugin by Celebrity Swaggz

Post a Comment

 
Top