"Mchana na usiku huzunguka kutani mwake; Uovu na taabu zimo ndani yake; Tamaa mbaya zimo ndani yake; Dhuluma na hila haziondoki mitaani mwake. Kwa maana aliyetukana si adui; Kama ndivyo, ningevumilia. Aliyejitukuza juu yangu siye anichukiaye; Kama ndivyo, ningejificha asinione. Bali ni wewe, mtu mwenzangu, Rafiki yangu, niliyejuana nawe sana. Tulipeana shauri tamu; na kutembea Nyumbani mwa Mungu pamoja na mkutano."

ZAB. 55:10‭-‬14 SUV

0 comments:

Post a Comment

 
Top
CelebritySwaggz.Com