Image may contain: 1 person, sunglasses
Richard Mavoko

Msanii Richard Mavoko Kutoka Label Kubwa Tanzania,Africa  Wcb Wasafi Inayomilikiwa Na Msanii Diamond Platnumz Amewaahidi Mashabiki Zake Kuwa Mwaka Huu Atakuja Na Album Yake Ya Kwanza Ambayo itakuwa imebeba Nyimbo Zaidi Ya Nane Na Katika Album Yake Amewashirikisha Wasanii Wa Nje Ya Tanzania Na Ndani Ya Tanzania Pia Ameahidi Itakuwa Ni Moja Ya Album Bora Kabisa Ambazo Zilishawahi Kutoka ''

0 comments:

Post a Comment

 
Top
CelebritySwaggz.Com