Mastaa wawili wa Bongo Movie, Wema Sepetu na Aunty Ezekiel, wameonekana kutokuwa na tatizo baada ya Wema kuweka mfululizo wa picha akiwa na shoga yake huyo.

Picha na ujumbe wa Wema kwa Aunty unafungua ukurasa mpya wa urafiki wao ulioonekana kuvunjika miezi kadhaa iliyopita. Baada ya kuweka picha takriban 30 kwenye Instagram za kumpongeza kwa kuzaliwa, Wema aliandika ujumbe mrefu:
Okay…. i think imetosha na mapicha picha na hapo bado ninazo nyingine kama Mia… Tusisahau kwenye simu ya Tiake pia zipo… Maana tungeamua kuweka zote tungekesha…. We come a long way my love… Na kila siku tumekuwa tukikorofishwa na maneno ya huku na kule… Mi na wewe hakuna wa kutuingilia, Nadhani ndo tunachosemaga kila siku… I miss you, And I know u miss me too… Nakupenda everyday… Maneno Kitu simple, kajisemea Chafu pozi…😂😂😂 But wat matters is the heart… Na ndani ya moyo wangu jua kwamba nakupenda sana…. No matter wat… You know Better… On this special day nataka nikwambie, maybe Sometimes watu wanatuweza kweli kweli na inaweza tokea tuka kechi wote na tununiane na tusisemeshane, BUT You will forever have a special place in my Heart Tiake…. Navyokupenda ni vile vile kama nilivyokuwa nakupenda juzi na jana… Nothing has changed…. Happy Birthday my love… My Best friend…. Usikechi basi ukaanza kulia maana nakujua….😂😂… Love you alot… And this comes from ndani kabisa ya moyo wangu”…. @auntyezekiel ….❤️

0 comments:

Post a Comment

 
Top
CelebritySwaggz.Com