Kwa mtangazaji hakuna msanii mgumu kumhoji kama yule mwenye majibu ya mkato au ya ndio na hapana!
14240585_1076733962442428_1307696467_n
Mtu wa aina hiyo humlazimu mtangazaji awe na maswali mengi na ya papo kwa papo kuifanya interview iendelee. Mrembo wa video za muziki, Amber Lulu ni mmoja wa watu wenye majibu ya mkato.
14533494_166285940486183_1560327357682679808_n
Msikilize hapa akihojiwa na mtangazaji wa Kings FM, Prince Ramalove ambapo amezungumzia kwa mkato tetesi za kukamatwa na madawa ya kulevya, bifu na Gigy Money, uhusiano wake na Young Dee na fedha anazolipwa kufanya video.

0 comments:

Post a Comment

 
Top
CelebritySwaggz.Com