Alhamisi hii ilikuwa ni siku ya kuzaliwa kwa Malkia wa filamu nchini, Aunty Ezekiel ambaye anadaiwa kutimiza miaka 30 lakini kwenye sherehe hiyo imeonekana kuwa ya siri huku akisherehekea na watu wachache aliowaalika.

Ungana nasi Facebook Like page yetu hapa chini

Weka Maoni Hapo Chini Kuhusu Habari Hii

Facebook Blogger Plugin by Celebrity Swaggz

Post a Comment

 
Top