Image result for diamond platnumz rich mavoko
Diamond ameongelea project inayofata ya msanii wake kutoka WCB, Rich Mavoko.
“Rich ni msanii nnaye mkubali na inawezekana wimbo unaofata ya kwakwe akawa amenishirikisha mimi au akawa amemshirikisha msanii kutoka Nigeria” Diamond alifunguka kwenye kipindi cha The Playlist.
Pia muimbaji huyo wa ‘Salome’ amesema kuwa anavutiwa zaidi na uwezo wa uandishi wa mashairi wa Rich Mavoko

0 comments:

Post a Comment

 
Top
CelebritySwaggz.Com