Wanamuziki Alikiba na Wizkid walitunishiana misuli juu ya nani aimbe kabla ya mwenzake kwenye show ya Mombasa

Alikiba alikataa kuimba kwanza kwa madai kuwa yeye ni mwanamuziki mkubwa Kenya kuliko Wizkid, kwahiyo hastahili kuimba kabla ya mwanamuziki huyo kutoka Nigeria

Baada ya vuta nikuvute hiyo Alikiba aliibuka mshindi kwani Wizkid alipanda jukwaani kabla ya Alikiba.

===============================

Show of might and abrupt ending of performances marred Saturday’s much hyped show that was headlined by American singer Chris Brown, Nairobi News can reveal.

Sources say that there was a standoff when Tanzania’s Alikiba declined to perform before Nigeria’s Wizkid.

“Kiba felt he is bigger in Kenya than Wizkid hence he could not understand why he was scheduled to perform before,” said our source.

In the end, Alikiba had his way, which saw him perform after Wizkid and just before Mr Brown

0 comments:

Post a Comment

 
Top
CelebritySwaggz.Com