Alikiba na Vanessa Mdee watapanda jukwaa moja na nyota wa muziki wa RnB nchini Marekani, Chris Brown
vanessa
Wawili hao watatumbuiza pamoja na Chris Brown, Oktoba 8, mwaka huu kwenye tamasha la Mombasa Rocks Music.
“Mombasaaaaaa it’s ME N U this weekend. @mombasarocksfestival 👌💜🎤👑 #Juu #Niroge,” ameandika Vanessa kwenye Instagram.
Nyota wa Nigeria, Wizkid naye atatumbuiza kwenye tamasha hilo kubwa.

Ungana nasi Facebook Like page yetu hapa chini

Weka Maoni Hapo Chini Kuhusu Habari Hii

Facebook Blogger Plugin by Celebrity Swaggz

Post a Comment

 
Top