Ajali hii imetoke Kibaha Mailimoja mama mmoja alikuwa amepaki gari lake maeneo ya Njuweni alienda sokoani kununua bidha aliporudi akawasha gari yake aondoke ndipo akaingia barabara kuu bila kuangalia kulia na kushoto ndipo Gari aina ya Semitreller ikamgonga mlango wa kulia na hatimaye kusababisha foleni isiyo na maana. ila huyo mama ametoka mzima ila gari yake imebondeka kama jinsi unavyoiona hapo.

0 comments:

Post a Comment

 
Top
CelebritySwaggz.Com