Muigizaji maarufu nchini asiyekaukwa na scandal, wema Isaac sepetu, hivi karibuni ameibuka na kuwataka wote wanaotumia mitandao ya kijamii kumsapoti( team wema) kuanzia Leo waache kwani hawajui na wamekua wakimuaribia sana maisha yake, mrembo huyo aliendelea kutiririka kuwa team hizo zimekua zikimgombanisha na watu wengi na kuwa asilimia nyingi ni wanafiki, hivyo amewaomba wote wanajiita team wema waache mara moja na waanze kutumia majina yao kwenye mitandao ya kijamii. 

0 comments:

Post a Comment

 
Top
CelebritySwaggz.Com