Video ya wimbo ‘Salome’ ya mkali wa muziki, Diamond Platnumz imefikisha views miloni moja katika mtandao wa YouTube kwa kipindi cha siku mbili.
wwc
wwc
Video hiyo ambayo inaonyesha kufanya vizuri zaidi kwa muda mfupi, imevunja rekodi yake mwenyewe ya video yake ya wimbo ‘Kigogo’ ya kufikisha views milioni 1 ndani ya siku 4.
Kupitia instagram, Diamond ameandia:
And ANOTHER HISTORY WAS MADE!!!!!!!!… Last time we broke the African Record by getting 1 million views within 4 days through the song #KIDOGO ft P-SQUARE and today we Broke our Own record through #SALOME by getting 1 Million Views in ?????… “Sema huu Mchezo wakati Mwingine Unahitaji Hasira ujue” 😂😂
Muimbaji huyo ni mmoja kati ya wasanii ambao video zao za muziki zinapata views wengi kupitia mtandao wa YouTube kwa muda mfupi.
Hii ni hatua nzuri kwa muziki wa Tanzania, kwani inaonyesha ni jinsi gani watanzania wameamka kusupport wasanii hao zaidi.

-Bongo5

0 comments:

Post a Comment

 
Top
CelebritySwaggz.Com