Rapa The Game ambaye kwa sasa yupo kwenye beef kali na Meek Mill amemuomba msamaha Nicki Minaj kwa kumtaja kwenye wimbo wake ambao ni diss kwa Meek Mill.The Game amemtaja Nicki Minaj kwenye diss track ya “92 Bars” na kupost picha yao waliyopiga kwneye video ya Nicki ya mwaka 2014 ya “Pills & Potions”.The Game alisema “Nicki won’t get no sleep, I’m coming through at 4 a.m,And I’ve been wanting to give Nicki this pool stick,”.
The Game anasema Nicki ni msanii mzuri na anafanya yake ndio maana sina tatizo naye, sikutaka kumkosea heshima kwa maneno yale.

0 comments:

Post a Comment

 
Top
CelebritySwaggz.Com