Ikiwa ni siku kadhaa zimepita tangu UDART kujenga control room katika kituo chao cha Jangwani ambapo imekuwa na msaada wa kumonitor madereva.

Leo September 26 2016 eneo la Magomeni Usalama jijini Dar es salaam kumetokea ajali iliyohusisha mabasi mawili yaendayo haraka baada ya kugongana yakiwa kwenye njia yake. Abiria wote walitoka salama na hakuna madhara yoyote kwa abiria.

VIDEO:

Ungana nasi Facebook Like page yetu hapa chini

Weka Maoni Hapo Chini Kuhusu Habari Hii

Facebook Blogger Plugin by Celebrity Swaggz

Post a Comment

 
Top