Image result for diamond and wema sepetu
Tangu Mwanamuziki Diamond Platnumz aachie wimbo wake wa Salome aliyemshirikisha kijana kutoka kundi lake la Wasafi, Raymond a.k.a RayVanny, amekua akipost video fupi fupi za mashabiki zake wakiwa wanacheza au kuimba wimbo huo uliotokea kupendwa sana na mashabiki wa mwanamuziki huyo.
Jioni ya leo ameweka post ya video ya Msanii Wema Sepetu akiimba wimbo huo wa Salome na kumtaja Mshindi wa Big Brother ambaye pia tumekua tukifaahamu kuwa ndiye mpenzi wa sasa wa mwanadada huyo na kusema kwamba ndio Salome wake.
Tazama video hiyo hapa chini, na kisha soma maneno aliyoweka Diamond kama Caption ya video hiyo:-

Hivi huku patakuwa ni kupatwa kwa nini….??? Tisha sana #SALOME wake @idrissultan


0 comments:

Post a Comment

 
Top
CelebritySwaggz.Com