Diamond ametangazwa kwenye orodha nyingine ya wasanii watakaoperform kwenye tuzo za MAMA
Diamond ambaye anawania kipengele cha ‘Best Male’ ataungana na Alikiba ambaye alitangazwa awali, wasanii wengine watakaotumbuiza ni pamoja na Yemi Alade, Nasty C, Emtee, Cassper Nyovest na Patoranking.
Tuzo hizo zitatolewa tarehe 22 Oktoba Johannesburg, Afrika kusini.

Ungana nasi Facebook Like page yetu hapa chini

Weka Maoni Hapo Chini Kuhusu Habari Hii

Facebook Blogger Plugin by Celebrity Swaggz

Post a Comment

 
Top