Msanii David Adeleke Adedeji ameonesha furaha ya hali ya juu baada ya kuisikia nyimbo yake ya Skelewu ikichezwa katika movie kubwa huko Hollywood Marekani iitwayo Qween of Katwe

Katika movie hii pia yupo mkenya aliyeweka historia ya kushinda tuzo ya oscar mwanadada Lupita Nyongo aliyecheza kama mhusika mkuu akishirikiana na David Oyellowo

0 comments:

Post a Comment

 
Top
CelebritySwaggz.Com