Msanii wa kike wa hip hop nchini Witness a.k.a kibonge mwepesi ameweka wazi kuwa amejichora tattoo ya jina la mpenzi wake Ochu sheggy kwenye kiuo chake.
Akiongea kwenye kipindi cha E-News cha East Africa Tv msanii huyo amesema amefanya hivyo ili kuepuka kumsaliti mpenzi wake.
Ukiweka tattoo sehemu kama niliyoweka mimi(kiunoni) inazuia, hata unapotaka kumsaliti mwenza wako yule unayekuwa naye inamnyima hamu kabisa na anashindwa hata kukutamani tena” alisema Witness.

0 comments:

Post a Comment

 
Top
CelebritySwaggz.Com