Msanii wa maarufu wa R&B Tanzania ambaye pia anasifika kwa utanashati,Jux ameweka wazi sehemu ya mwili wake ambayo haipendi.
Akipiga stori na mtangazaji wa East Africa,Anna Peter,Msani huyo alisema kuwaMiguu ndio sehemu ya mwili wake ambayo hapendezewi nayo na ndio maana hapendi sana kuvaa kaptula kwani huwa hapendi kuiacha wazi.
Jux aliongeza kuwa ikitokea analazimika kuvaa kaptula au pensi basi lazima avalie na soksi ili asiione miguu yake.

0 comments:

Post a Comment

 
Top
CelebritySwaggz.Com