Kwenye mashindano lazima patakuwa na mshindi wa pili na watatu na kukubali kuanguka ni kawaida, ila kuamka  baada ya kuanduka ndio kazi yenyewe ambayo kwa sasa Diamond anafanya kwa  kutoa kazi ambayo yeye anaimani ni bora zaidi baada ya kupoteza tuzo ya BET kwa msanii Black Coffee wa Afrika Kusini.

Haya maneno ya Diamond kuhusu wimbo wake mpya aliyoandika Twitter:
"Haya Ongeeni Vizuri na waganga wenu Baada ya siku nne simba Anaachia ile Mashine"

0 comments:

Post a Comment

 
Top
CelebritySwaggz.Com