fanny-neguesha-mario-balotelli-neymar-bruna-marquezineSiku mbili kutoka sasa, wachezaji bora duniani wataanza vita ya kugombea kombe kubwa kwenye ulimwengu wa soka – Kombe la dunia.
Lakini wakati wakati kwenye World Cup tutashuhudia vipaji vya mastaa wa soka ulimwenguni vikishindana, kwa upande mwingine tutashuhudia mashindano ya urembo wa wenza wao.
Hii ni listi ya wachumba na wake bomba zaidi wa wachezaji 11 watakaitikisa kwenye kombe la dunia 2014:
1: IRINA SHAYK (MCHUMBA WA CRISTIANO RONALDO)
article-2652078-1E91C5CF00000578-484_634x683
Irina-Shayk-Sports-Illustrated-2012-irina-shayk-29148582-798-512
2: SHAKIRA (MCHUMBA WA GERARD PIQUE WA SPAIN)
Shakira na Pique walikutana mwaka 2010 wakati wakirekodi video ya wimbo wa WakaWaka na mapenzi yakazaliwa – hivi sasa wana mtoto mwenye miaka miwili.
3: FANNY NEGUESHA (MCHUMBA WA MARIO BALOTELLI)
Fanny Naguesha
Japokuwa mahusiano yao yamekuwa si imara lakini Fanny amekuwa mchumba anayemsapoti mpenzi wake Balotelli – mara ya mwisho kwenye michuano ya kombe la mabara – Neguesha alikwenda Brazil kumshangilia Balotelli na timu yake ya taifa ya Italy.
4: ANTONELLA ROCCUZZO (LIONEL MESSI)
Lionel Messi na mchumba wake Antonella walianza mahusiano mwaka 2008 na mnamo mwaka 2012 walipata mtoto wao wa kwanza Thiago.
5: EDURNE GARCIA ALMAGRO (DAVID DE GEA)
Eduarne na De Gea ni wapenzi wa miaka minne sasa – Eduarne ni mwanamuziki mkubwa nchini Spain.
6: YOLANTHE CABAU (MKE WA WESLEY SNEIJDER)
7: BRUNA MARQUEZINE (MCHUMBA WA NEYMAR)
8: Sara Carbonero ( Iker Casillas)


9: JOURDAN DUNN (MCHUMBA WA STURRIDGE) 
10: SULLEY MUNTARI AND MENAYE DONKOR

BOFYA HAPA UONE PICHA ZAIDI

0 comments:

Post a Comment

 
Top
CelebritySwaggz.Com