Diamond Platinumz ambaye yuko Durban Afrika Kusini akijiandaa na tuzo MTV, ameongeza sababu nyingine ya kutabasamu baada ya akaunti yake ya Twitter kuwa Verified. Mkali huyo mwenye Followers Zaidi ya 34, 000 ametambuliwa na Twitter kuwa mmiliki pekee/halali wa akaunti yake.
“Thank you Twitter.” Diamond ameandika. 
 

Ungana nasi Facebook Like page yetu hapa chini

Weka Maoni Hapo Chini Kuhusu Habari Hii

Facebook Blogger Plugin by Celebrity Swaggz

Post a Comment

 
Top